Hilary Duff

Hilary Erhard Duff (alizaliwa Septemba 28, 1987) ni mwigizaji wa Marekani, mwimbaji, na mtunzi wa nyimbo.

Amepokea tuzo mbalimbali kama vile Nickelodeon Kids' Choice Awards, Teen Choice Awards na Young Artist Awards. Pia alianza kazi yake ya uigizaji akiwa na umri mdogo, ambapo alipewa jina la teen idol, kama mhusika mkuu katika filamu mbalimbali kwenye televisheni.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hilary Duff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.