Hilton Alger ni hoteli katika mji wa Algiers nchini Algeria, iliyoendeshwa na Hoteli za Hilton. ilifungwa mwaka 2017 kwa ajili ya ukarabati.[1] Hoteli ina vyumba 412, ikiwa ni pamoja na vyumba 40 Deluxe. Inahudumiwa na mgahawa wa 'Sara'" ambao huudimia vyakula vya Mediterrania, 'Casbah' ambavyo ni vyakula vya jadi vya Algeria na 'Tamina', ambavyo ni vyakula vya Mediterrania na kimataifa.[2] Hoteli pia ina baa nyingi na kumbi.

Hotel ya Alger Hilton

Marejeo

hariri
  1. "With oil revenue flagging, Algeria turns to tourism". 31 Januari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. The Report: Algeria 2008. Oxford Business Group. 2008. uk. 251. ISBN 978-1-902339-09-2. Iliwekwa mnamo 20 Machi 2011.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)