Historia ya Nikaragua

Historia ya Nikaragua inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Nikaragua.

Nchi ilikuwa koloni la Wahispania tangu mwaka 1524.

Mwaka 1821 ilijiunga na ghasia ya maeneo mengine ya Amerika ya Kati dhidi ya utawala wa Hispania. Mwanzoni nchi hizo ndogo zilijiunga na Meksiko lakini baada ya miaka miwili zilianzisha "Shirikisho la Amerika ya Kati" lililokwisha mwaka 1839.

Tangu mwaka 1854 imekuwa nchi ya kujitegemea kabisa.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Nikaragua kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.