Hosea Mundui Kiplagat (1945 - 6 Februari 2021) [1] alikuwa mwanasiasa wa Kenya, mjasiriamali, na mfadhili. Kiplagat alikuwa wa jamii ya watu wa kabila la Tugen.

Marejeo

hariri
  1. Tiemoi, Bernadine (6 Februari 2021). "Former President Moi's aide Hosea Kiplagat dies in Nairobi". Citizen TV. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)