Houwhoek Pass
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Houwhoek Pass ni njia kwenye barabara ya kitaifa N2 katikati ya Grabouw na Botrivier kwenye mkoa wa rasi ya magharibi (Western Cape province), Afrika Kusini. Njia yenyewe inaruhusu magari ya kwenda na kurudi na ipo mita 340 juu ya usawa wa bahari .
Barabara ya tawi la Overberg pamoja na nja ya zamani ya Houwhoek ziko karibu, na zinamuelekeo sambamba lakini pia zikiwa karibu na Mto wa Jakkals.Hoteli na shamba la Houw yapo karibu na makutano ya njia
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Houwhoek Pass kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |