Hudiksvall

Hudiksvall ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 14,850 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1582.

Hudiksvall
Hudiksvall Municipality in Gävleborg County.png

JiografiaEdit

Eneo lake ni 9.71 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hudiksvall kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.