Husn Banu Ghazanfar

Husn Banu Ghazanfar (Dari: حسن بانو غضنفر, amezaliwa Mkoa wa Balkh, 1 Februari 1957) ni mwanasiasa wa Afghanistani awali alifanya kazi kama waziri wa masuala ya wanawake. Yeye pia ni mwandishi, mtunzi wa mashairi na muongeaji wa hadhara[1]

Husn Banu Ghazanfar
Husn Banu
Husn Banu
Jina la kuzaliwa 1 Februari 1957
Nchi Afghanistani
Kazi yake mwanasiasa wa Afghanistani

Maisha ya awali na elimu hariri

Ghazanfar, binti Abdul Ghafar, alimaliza masomo yake katika Shule ya Upili ya Sultan Razia huko Mazar-e-Sharif na kupata Shahada ya Kwanza na shahada ya uzamili katika Fasihi na Sayansi ya Jamii kutoka Stavropol. Karibu mwaka wa 1983, alihusika katika programu ya Idara ya Fasihi ya Chuo Kikuu cha Kabul. Takriban miaka miwili baadaye, alikwenda St. Petersburg, Urusi, kwa ajili ya kupata shahada ya uzamivu katika Fasihi. Akiwa ni Muzbeki kwa asili,[2] anazungumza vizuri Kidalili (Kiajemi), Pashto, Muzbeki, Kirusi, na anajua kidogo Kituruki na Kiingereza.[3]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Husn Banu Ghazanfar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.