1 Februari
tarehe
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Februari ni siku ya thelathini na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 333 (334 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1905 - Emilio Segre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959
- 1927 - Galway Kinnell, mshairi kutoka Marekani
- 1931 - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)
- 1938 - Sherman Hemsley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1952 - Roger Tsien, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008
- 1976 - Giacomo Tedesco, mchezaji mpira kutoka Italia
Waliofariki
hariri- 1650 - René Descartes, mwanafalsafa kutoka Ufaransa
- 1691 - Papa Alexander VIII
- 1958 - Clinton Davisson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 1976 - George Whipple, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1934)
- 1976 - Werner Heisenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Trifoni wa Frigia, Severo wa Ravenna, Paulo wa Trois-Chateaux, Brigit wa Kildare, Orso wa Aosta, Agripano, Sigebati III, Ramon wa Fitero, Yohane wa Saint-Malo, Verdiana wa Castelfiorentino, Henri Morse, Paulo Hong Yong-ju na wenzake n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 16 Januari 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |