Hyderabad
Hyderabad (Telugu: హైదరాబాద్ ) ni mji mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh nchini India. Huu ni miongoni mwa miji mikuu nchini ikiwa na eneo la square kilometre 650 (sq mi 250).[1] Jiji lina jumla ya wakazi wapatao 6,809,970 na wengineo zaidi ya 7,749,334 wanaoishi katika maeneo ya mji mkuu, na kuifanya Hyderabad kuwa mji wa nne duniani kwa wingi wa watu na mji wa sita kwa idadi ya wakazi wengi nchini India.[2]
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Greater Hyderabad Municipal Corporation". GHMC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2011.
- ↑ "Urban Agglomerations/Cities having population 1 lakh and above" (PDF). Censusindia. The Registrar General & Census Commissioner, India. Iliwekwa mnamo 17 Oktoba 2011.
- "hyderabad-district-records-highest-literacy-rate". siasat.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-04-08. Iliwekwa mnamo 6 Aprili 2011.
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Angalia mengine kuhusu Hyderabad kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Hyderabad katika Open Directory Project
- Hyderabad travel guide kutoka Wikisafiri
- Official website of Greater Hyderabad Municipal Corporation Archived 1 Januari 2009 at the Wayback Machine.
- Hyderabad Census data 2011
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hyderabad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |