IBali

Mwanamuziki wa Kamerun

Ataindum Donald Nge (amezaliwa Septemba 2, 1997) ni mwanamuziki wa Kameruni na mtumbuizaji anayefahimika kwa jina la Ibali akiwa jukwaani. Pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu. [1]

Maisha ya awali na kazi hariri

Ibali alizaliwa Bamenda, Kameruni. Ibali anandugu 3 na yeye ndiye mzaliwa wa kwanza katika familia yao. Alianza kurekodi muziki mwaka 2014 kwa jina la Dolly Pearl.[2]

Ibali alitoa nyimbo mbalimbali akiwashirikisha wasanii kama vile Richard Kings, Magasco, Blaise B, na Daddy Black.[3][4] Januari 2021, Ibali alizindua video yake mpya iitwayo Revelation chini ya albamu yake ya Prophetic.[5]

Diskografia hariri

Albamu hariri

  • Prophetic (2021)

Nyimbo hariri

  • Legendary
  • One People
  • Revelation

Zilizoshirikishwa hariri

  • Dolly Pearl ft Blaise B
  • Dolly Pearl Cado ft Daddy Black

Marejeo hariri

  1. Elf, An (22 July 2020). "The Birth of a Pan-African Prophet; Ibali The Spiritual Artist". Critiqsite. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Dolly Pearl Rebrands himself | Welcome To Lady-T's World". Ladyt237. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-04-23. 
  3. "Uprising Dolly Pearl Speaks Up". Bamenda Online. 1 July 2018. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-25. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
  4. Kange, Victor. "Afro-Spiritual Artiste IBALI Crowned "Messiah Of Cameroonian Music" By DJs". Cameroon's #1 Music and Entertainment Portal. 
  5. "Artist IBALI Drops His Empowering New Single "Revelation"". Wonderland. 2 February 2021.  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu IBali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.