ICSU
Shirika mwavuli la kimataifa la Jumuiya za Kisayansi
ICSU ni kifupisho cha International Council of Scientific Unions yaani Baraza la Kimataifa la Mashirika ya Kisayansi. Jina lingine ni International Council for Science, yaani Baraza la Kimataifa kwa ajili ya Sayansi.
Makao makuu yako Paris, Ufaransa. Ina wawakilishi wa nchi 140.
Marejeo
hariri- Greenaway, Frank (2006) Science International: A History of the International Council of Scientific Unions Cambridge University Press ISBN 9780521028103
- Frängsmyr, Tore (1990) Solomon's house revisited: the organization and institutionalization of science. Science History Publications, U.S.A. ISBN 9780881350661
- Crawford, Elisabeth (2002) Nationalism and Internationalism in Science, 1880-1939. Cambridge University Press ISBN 9780521524742
Viungo vya nje
hariri- ICSU.org Archived 11 Novemba 1998 at the Wayback Machine., the official website
- ICSU Archived 27 Oktoba 2013 at the Wayback Machine. at University of Waterloo Scholarly Societies directory
- ICSU Archived 23 Oktoba 2013 at the Wayback Machine. at United Nations
Makala hii kuhusu "ICSU" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |