ISO 3166-2:KE ni mchakato wa uingiaji wa nchi ya Kenya katika ISO 3166-1, sehemu ya kiwango cha ISO 3166 kilichochapishwa na Shirika la Kimataifa la Usanifishaji (ISO), ambacho kinafafanua kanuni kwa majina ya wilaya (kwa mfano, majimbo au mataifa) ya nchi zote zilizojumuishwa kwenye ISO 3166-1

Kwa sasa nchini Kenya, kanuni za ISO 3166-2 zimeelezwa kwa kaunti 47.

Kila kanuni iko na sehemu mbili, zilizotengwa na kistariungio (-). Sehemu ya kwanza ni KE, kanuni ya ISO 3166-1 alpha-2 ya Kenya. Sehemu ya pili iko na nambari tatu.

Kanuni za sasa hariri

Majina ya wilaya kama yalivyoorodheshwa kwenye kanuni za ISO 3166-2 na ISO 3166 Maintenance Agency (ISO 3166/MA)

Kanuni za ISO 639-1 hutumiwa kuwakilisha wilaya kwa Lugha rasmi za:

Kaunti hariri

Bonyeza kitufe kilicho kwenye kichwa cha jedwali ili kupanga mfuatano wa kila safu.

Kanuni Jina la wilaya (sw)
KE-01 Baringo
KE-02 Bomet
KE-03 Bungoma
KE-04 Busia
KE-05 Elgeyo/Marakwet
KE-06 Embu
KE-07 Garissa
KE-08 Homa Bay
KE-09 Isiolo
KE-10 Kajiado
KE-11 Kakamega
KE-12 Kericho
KE-13 Kiambu
KE-14 Kilifi
KE-15 Kirinyaga
KE-16 Kisii
KE-17 Kisumu
KE-18 Kitui
KE-19 Kwale
KE-20 Laikipia
KE-21 Lamu
KE-22 Machakos
KE-23 Makueni
KE-24 Mandera
KE-25 Marsabit
KE-26 Meru
KE-27 Migori
KE-28 Mombasa
KE-29 Murang'a
KE-30 Nairobi City
KE-31 Nakuru
KE-32 Nandi
KE-33 Narok
KE-34 Nyamira
KE-35 Nyandarua
KE-36 Nyeri
KE-37 Samburu
KE-38 Siaya
KE-39 Taita/Taveta
KE-40 Tana River
KE-41 Tharaka-Nithi
KE-42 Trans Nzoia
KE-43 Turkana
KE-44 Uasin Gishu
KE-45 Vihiga
KE-46 Wajir
KE-47 West Pokot

Mabadiliko hariri

Mabadiliko yafuatayo ya uingiaji wa nchi ya Kenya katika ISO yametangazwa na ISO 3166 / MA tangu uchapishaji wa kwanza wa ISO 3166-2 mwaka wa 1998. ISO iliwacha kutoa jarida hizo mnamo 2013.

Toleo/Jarida Tarehe ya kutolewa Maelezo ya mabadiliko ya jarida Kanuni/Mabadiliko ya wilaya
ISO 3166-2:2007 2007-12-13 Toeo la pili la ISO 3166-2 (badiliko hili halikutangazwa kwenye jarida) Kanuni:

Western: KE-900 → KE-800

Newsletter II-2 2010-06-30 Sasishi ya orodha ya chanzo
Online Browsing

Platform (OBP)

2014-10-30 Mikoa iliyotolewa; add 47 counties; update List Source Kanuni zilizotolewa:

KE-110, KE-200, KE-300, KE-400, KE-500, KE-600, KE-700, KE-800

Kanuni zilizoongezwa

KE-01 through KE-47

2016-11-15 Update Code Source

Kanuni za awali hariri

Kabla ya mwaka wa 2014, kanuni za ISO 3166-2 zimedumishwa kwa Mikoa 8 ya awali ya Kenya.

Bonyeza kitufe kilicho kwenye kichwa cha jedwali ili kupanga mfuatano wa kila safu.

Kanuni za awali Jina la wilaya (en) Jina la wilaya (sw)
KE-110 Nairobi Nairobi
KE-200 Central Kati
KE-300 Coast Pwani
KE-400 Eastern Mashariki
KE-500 North-Eastern Kaskazini Mashariki
KE-600 Nyanza Nyanza
KE-700 Rift Valley Bonde la Ufa
KE-800 Western Magharibi

Tazama pia hariri

Virejeshi hariri

  1. "Statoid Newsletter January 2008"". Statoids.com.

Viungo vya nje hariri