Kanuni ni taratibu zilizotungwa na binadamu ambazo ni lazima kutimizwa.

Taratibu hizi zinaweza kuwa za afya, uchumi, biashara, kilimo, dini n.k.

Mfano wa kanuni za afya:

  • Nawa mikono kabla au baada ya kula kwa maji safi na salama.
  • Nawa mikono kila baada ya kutoka chooni.
  • Osha tunda kwa maji safi kabla ya kulila.