I Get Around
"I Get Around" ni kibao cha pili kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop, 2Pac. Kibao kinatoka katika albamu ya pili ya Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z., na kimeshirikisha msanii kama vile Shock G na Money-B wa Digital Underground, kundi ambalo lilimtambulisha. Kibao kimetayarishwa na Shock G[1] na kina Allmusic wakanoti kwamba 2Pac "anajigamba kwamba yeye anapendwa sana kimapenzi"[2].
“I Get Around” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 2Pac akishirikiana na Shock-G na Money-B kutoka katika albamu ya Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. | |||||
Imetolewa | 10 Juni 1993 | ||||
Muundo | 12" single, CD | ||||
Imerekodiwa | 1992 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Urefu | 4:19 | ||||
Studio | Interscope | ||||
Mtunzi | 2Pac Shock G Larry Troutman Shirley Murdock Money-B | ||||
Mtayarishaji | Shock G | ||||
Certification | Gold (RIAA) | ||||
Mwenendo wa single za 2Pac akishirikiana na Shock-G na Money-B | |||||
|
Baadhi ya sauti ya sauti za wimbo huu imechukua sampuli ya wimbo wa mwaka wa 1985 wa Zapp maarufu kama Computer Love na ala ya wimbo imechukua sampuli ya wimbo wa "Step in the Arena" kutoka kwa kundi zima la hipo hop la Gang Starr.
Shock G alikumbushia jinsi kibao hiki kilivyotungwa, kwenye tabu cha How to Rap, -metaja kwamba 2Pac ametunga mashairi baada ya kuisikia biti kwa muda mfupi (afadhali kuliko kutokwa na biti)[3], na kwamba 2Pac pia ametunga mstari wa Shock G[4].
Brian McKnight amechukua sampuli ya wimbo wa "Hold Me" kwenye Anytime (1997). Nicole Wray naye amechukua sampuli ya wimbo huu kwenye kibao chake cha "I Like It".
Orodha ya nyimbo
hariri- 12"
- «I Get Around» (LP version) - 4:19
- «I Get Around» (vocal version) - 6:07
- «Nothing but Love» - 5:04
- «I Get Around» (remix) - 6:06
- «I Get Around» (remix instrumental) - 6:04
- «I Get Around» (7" remix) - 3:36
|
|
Marejeo
hariri- ↑ http://www.allmusic.com/album/strictly-4-my-niggaz-r168663
- ↑ http://www.allmusic.com/album/strictly-4-my-niggaz-r168663
- ↑ Edwards, Paul, 2009, How to Rap: The Art & Science of the Hip-Hop MC, Chicago Review Press, p. 169.
- ↑ Edwards, Paul, 2009, How to Rap: The Art & Science of the Hip-Hop MC, Chicago Review Press, p. 230-231.