Idir
Hamid Cheriet (kwa Kikabyle Ḥamid Ceryat; alijulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Idir, kwa Kikabyle Yidir; Beni Yenni, Algeria, 1949 - 2020[1]) alikuwa mwanamuziki Mberberi wa Algeria ambaye aliimba muziki wa rai.
Idir | |
---|---|
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Hamid Cheriet |
Amezaliwa | 1949 |
Amekufa | 2020 |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, Mtayarishaji wa rekodi, mwanamuziki |
Ala | Sauti, Gitaa, Flute, Tumba |
Miaka ya kazi | 1976–2020 |
Discografia
haririAlbumu
hariri(Kwa orodha ndefu kabisa ya nyimbo za albamu ya Idir, tazama diskografia ya Idir kwenye Wikipedia ya Kifaransa)
Mwaka | Albamu | Chati peak FR [2] |
---|---|---|
1976 | A Vava Inouva | |
1979 | Ay arrac nneɣ (Ay Arrac Negh) | |
1993 | Les chasseurs de lumières | |
1999 | Identités | 23 |
2002 | Deux rives, un rêve | |
2005 | Entre scènes et terres (live album) | 125 |
2005 | La France des couleurs | 22 |
2013 | Idir | 43 |
Single
haririMwaka | Single | Chati peak FR [2] |
Albamu |
---|---|---|---|
2002 | "Pourquoi cette pluie?" | 64 | Deux rives, un rêve |
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2002-11-19. Iliwekwa mnamo 2015-12-13.
- ↑ 2.0 2.1 "LesCharts.com Idir discography page". Lescharts.com. Iliwekwa mnamo 2013-02-15.