Idris Sultan
Msanii
Idris Sultan (alizaliwa 28 Januari 1993) ni mwigizaji, mchekeshaji, na mtangazaji wa redio wa Kitanzania ambaye alishinda "Big Brother Africa-Hotshots" mnamo 2014.
Anasimamia kipindi kikubwa cha habari cha ucheshi kiitwacho Sio Habari. Mbali ya hiyo, yeye ni mwendeshaji wa kipindi chake cha ucheshi. Pia ni mwendeshaji wa kipindi cha redio kiitwacho MwB (Mji wa Burudani) kupitia kituo cha redio kiitwacho Choice Fm Ilihifadhiwa 1 Julai 2019 kwenye Wayback Machine. nchini Tanzania.
Anajulikana nchini Tanzania kupitia machapisho yake ya vichekesho kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Tuzo na uteuzi
haririMwaka | Tuzo | Kipengele | Matokeo |
---|---|---|---|
2017 | Abryanz Style and Fashion Awards | Male Most Stylish/Dressed Celebrity (Africa) | Ameshinda |
2016 | Best Male Dressed Media Personality(Africa) | Ameshinda |
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti
- Idris Sultan - YouTube channel
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Idris Sultan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |