Ikulu ya Zanzibar
Ikulu ya Zanzibar ilisanifiwa hapo awali na msanifu majengo John Sinclair kutoka Uingereza. Jengo lilibuniwa mnamo 1903 kuwa makazi ya Waingereza.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ https://www.lonelyplanet.com/tanzania/zanzibar-archipelago/zanzibar-unguja/attractions/state-house/a/poi-sig/1453553/355668
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-05-12.