Ilya Ilich Mechnikov (16 Mei 184516 Julai 1916) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Urusi. Tangu mwaka wa 1888 alifanya kazi Ufaransa ambapo jina lake liliandikwa Elie Metchnikoff. Hasa alichunguza mfumo wa kingamaradhi wa wanyama. Mwaka wa 1908, pamoja na Paul Ehrlich alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Ilya Mechnikov
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ilya Mechnikov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.