Imperia ni mji wa mkoa wa Liguria, Italia Kaskazini wenye wakazi 42,322 (sensa ya mwaka 2011).

Mji wa Imperia ndani ya mkoa wa Liguria

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Imperia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.