Roboti ya viwandani
(Elekezwa kutoka Industrial robot)
Roboti ya viwandani (kwa Kiingereza: industrial robot) ni mfumo wa roboti unaotumika katika uzalishaji wa bidhaa. Roboti za viwandani ni za kiotomatiki, zinaweza kupangwa na zinaweza kusonga kwa ekseli tatu au zaidi.
Roboti za viwandani hutumiwa kwa shughuli kama kuchomelea vyuma, kupaka rangi, kuunganisha na kutenganisha, [1] kuchukua na kuweka vipuli kwa bodi za saketi zilizochapishwa, kuweka lebo, ukaguzi wa bidhaa na majaribio; yote yametimizwa kwa kasi, na usahihi. Zinaweza kusaidia katika utunzaji wa nyenzo.
Katika mwaka wa 2020, roboti za viwandani milioni 1.64 zilikuwa zikifanya kazi kote ulimwenguni kulingana na Shirikisho la Kimataifa la Roboti (IFR). [2]
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Industrial robots and robot system safety (by OSHA, so in the public domain).
- International Federation of Robotics IFR (worldwide)
- Robotic Industries Association RIA (North America)
- BARA, British Automation and Robotics Association (UK) Archived 3 Aprili 2019 at the Wayback Machine.
- Center for Occupational Robotics Research by NIOSH
- Safety standards applied to Robotics Archived 14 Aprili 2021 at the Wayback Machine.
- Strategies for addressing new technologies from the INRS Archived 21 Februari 2018 at the Wayback Machine.
- Machine Guarding - Why It's a Legal Requirement Archived 15 Aprili 2021 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Roboti ya viwandani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |