Ini Kamoze (jina halisi Cecil Campbell; amezaliwa 9 Oktoba 1957) ni msanii wa reggae kutoka Jamaika ambaye alianza kazi yake mapema miaka ya 1980 na alipata umaarufu mwaka 1994 na wimbo wake maarufu Here Comes the Hotstepper. Wimbo huu ulifikia nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard Hot 100 nchini Marekani pamoja na chati za rekodi nchini Denmark na New Zealand, na kufikia nafasi ya nne kwenye UK Singles Chart.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. Roberts, David (2006). British Hit Singles & Albums (tol. la 19th). London: Guinness World Records Limited. uk. 296. ISBN 1-904994-10-5.
  2. "Ini Kamoze", Official Charts Company. Retrieved 23 December 2012
  3. Jeffries, David (2005-09-13). "Welcome to Jamrock - Damian "Junior Gong" Marley : Songs, Reviews, Credits, Awards". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2012-11-14.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ini Kamoze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.