Inji Aflatoun

Mchoraji wa Misri (1924-1989)

Inji Aflatoun (Kiarabu: إنجي أفلاطون; 16 Aprili 192417 Aprili 1989[1]) alikuwa mchoraji na mwanaharakati wa haki za wanawake kutokea Misri. Alikua msemaji mkuu wa vuguvugu endelevu la taifa la kutetea haki za wanawake la Marxist mwishoni mwa miaka ya 1940 na 1950,[2] Vili vile ni mwanzilishi wa "sanaa ya kisasa ya Misri"[3] pia ni "moja kati ya wasanii wa kuonekana nchini Misri"

Inji Aflatoun
Amezaliwa Inji Aflatoun
16 April 1924
Misri
Amekufa 17 April 1989
Nchi Kiarabu
Kazi yake Mchoraji


Inji Aflatoun
Inji Aflatoun

Marejeo hariri

  1. Inji Efflatoun. www.encyclopedia.mathaf.org.qa. Iliwekwa mnamo 2022-03-02.
  2. Petry, Carl F.; Daly, M. W. (1998). The Cambridge history of Egypt. Library Genesis. Cambridge ; New York, NY : Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-47137-4. 
  3. Mattar, Philip (2004). Encyclopedia of the modern Middle East & North Africa. Library Genesis. Detroit, Mich. : Macmillan Reference USA. ISBN 978-0-02-865769-1. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Inji Aflatoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.