Internet Adult Film Database

Internet Adult Film Database (kifupi: IAFD) ni uhifadhidata mtandaoni unaohusiana na habari za filamu, vipindi vya waigizaji, vikundi vya watayarishaji wa masuala ya filamu n.k.

Internet Adult Film Database
URLiafd.com
Biashara?yes
Lugha zilizopoKiingereza
Leseniproprietary
Viumbe1995
Alexa rank7,395 (April 2014)[1]
SasaOnline

IAFD ilianzishwa mnamo 1995.

MarejeoEdit

  1. Iafd.com Site Info. Alexa Internet. Iliwekwa mnamo 2014-04-01.

Viungo vya NjeEdit