'

Isaya Yunge
Amezaliwa23 Machi 1990 (1990-03-23) (umri 34)
Tanzania
Kazi yakeMjasiriamali wa mtandao


Isaya Yunge (alizaliwa 23 Machi 1990) ni mjasiriamali wa kimtandao na Mtanzania wa kwanza kijana aliyepata nafasi ya kuwa mzungumzaji katika mkutano wa G8 2007 Summit. Mwaka 2018 alikuwa miongoni mwa watanzania watano waliopata tuzo ya Queen's Young Leader Award kwa kutambuliwa mchango wake kupitia kazi ubunifu wa APP ya mtandaoni ya SomaApps[1] ambayo imesaidia zaidi ya watu 7000[2] kuendelea na masomo yao kwa njia ya mtandao.[3][4] Yunge ni muanzilishi wa SomaApps ambayo inawesaidia vijana kupata fursa za ufadhili wa kimasomo nje ya nchi.[5][6]

Mwaka 2007 alichaguliwa na shirika na shirika la umoja wa mataifa la haki za haki za watoto UNICEF kuwa balozi wa shirika hilo, [7]

Marejeo hariri

  1. THE QUEEN'S YOUNG LEADERS (2018). "Isaya Yunge". Iliwekwa mnamo 2020-08-06.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. BBC, SWAHILI (2018-06-08). "Isaya Yunge: Kijana Mtanzania anayetarajiwa kufanikiwa sana katika teknolojia". BBC. Iliwekwa mnamo 2020-06-08.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. "Using app to quench thirst for knowledge". The Citizen (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-06. 
  4. "History Hero BLAST". History Hero BLAST (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-25. Iliwekwa mnamo 2020-08-06.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. database-control (2020-04-07). "Meet Isaya Yunge – CEO SomaApps Technologies". Summit Recruitment & Search (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-08-06. 
  6. "TEDxOysterbay | TED". 
  7. database-control (2020-04-07). "Meet Isaya Yunge – CEO SomaApps Technologies". Summit Recruitment & Search (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-08-06. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaya Yunge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.