Ishaka ni mji uliokuwepo mkoa wa magharibi mwa Uganda. Ni moja ya halmashauri ya wilaya ya Bushenyi.

Uganda location map

Mji Ishaka upo katika jimbo la Igara, takriban kilomita 62 kwa barabara, magharibi mwa mji wa Mbarara, mji mkuu katika ukanda mdogo wa Ankole.[1] ni kama 6 kilomita, magharibi mwa Bushenyi, sehemu ilipo makao makuu ya wilaya.[2] Majira-nukta ni 0°32'42.0"S, 30°08'18.0"E (Latitude:-0.545006; Longitude:30.138343).[3]

Marejeo hariri