Ishirini

Ishirini (kutoka neno la Kiarabu) ni namba inayoandikwa 20 kwa tarakimu za kawaida na XX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 19 na kutangulia 21.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 5.

MatumiziEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishirini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.