Kumi na tisa ni namba inayoandikwa 19 kwa tarakimu za kawaida na XIX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 18 na kutangulia 20, pia ni namba tasa.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kumi na tisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.