Ishirini na sita ni namba inayoandikwa 26 kwa tarakimu za kawaida na XXVI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 25 na kutangulia 27.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 13.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishirini na sita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.