Ishirini na tano
Ishirini na tano ni namba inayoandikwa 25 kwa tarakimu za kawaida na XXV kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 24 na kutangulia 26.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 5 x 5.
Matumizi
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ishirini na tano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |