Issam Badda
Issam Badda (alizaliwa 10 Mei 1983 huko Khemisset, Morocco) ni Nyota wa soka wa Morocco anayekucheza kama golikipa. Kwa sasa yupo huru bila klabu. Alikuwa sehemu ya kikosi cha Morocco katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2012.[1] Katika fainali, Badda aligundulika kuwa na aina fulani ya malaria.[2]
Youth career | |||
---|---|---|---|
2000–2005 | IZK Khemisset | ||
Senior career* | |||
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
2005–2010 | IZK Khemisset | ||
2010–2015 | FUS Rabat | ||
2015–2016 | Kawkab Marrakech | ||
2016–2017 | IR Tanger | 6 | (0) |
Timu ya Taifa ya Kandanda‡ | |||
2008–2012 | Morocco | 1 | (0) |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 00:00, 1 Julai 2017 (UTC). † Appearances (Goals). |
Marejeo
hariri- ↑ "Profile". mtnfootball.com. 25 Januari 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2012.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help) - ↑ "Morocco goalkeeper contracts malaria". BBC Sport. 25 Januari 2011. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2012.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Issam Badda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |