Italia Kusini

Italia Kusini ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Abruzzo, Basilicata, Calabria, Campania, Molise na Puglia.

Italia meridionale Southern Italy.svg

Kwa jumla ni km2 73,223 na wakazi ni 14,118,477[2]

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Italia Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.