Italia Visiwani ni sehemu ya Italia[1] inayoundwa na mikoa miwili ya visiwani: Sicilia na Sardegna.

Kwa jumla ni km2 49,801 na wakazi 6,746,464[2]. Msongamano ni mdogo, lakini ni mikoa fukara kuliko kawaida ya nchi.

Tanbihi hariri

  1. http://epp.eurostat.ec.europa.eu/portal/page/portal/nuts_nomenclature/introduction
  2. "Dato Istat al 30/11/2014". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-16. Iliwekwa mnamo 2017-03-07. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Italia visiwani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.