Itunu Hotonu
Afisa maji na ubunifu Nigeria
Admirali Itunu Hotonu (alizaliwa 18 Januari 1959) ni Afisa wa jeshi la maji la Nigeria [1] na mbunifu. [2] [3]
Mmoja wa maofisa wanawake wa kwanza [4] na miongoni mwa wasanifu wa kwanza katika Jeshi la maji la Nigeria, amehudumu kama mwalimu wa chuo cha wafanyakazi nchini Liberia . Mnamo Desemba 2012, alikua admirali wa kwanza wa kike barani Afrika.
Marejeo
hariri- ↑ "Ambode's wife, others laud 50 years of women's contributions to Lagos". Daily Times Nigeria (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2017-05-19. Iliwekwa mnamo 2020-05-03.
- ↑ "NIA advised to train, mentor aspiring female architects". Punch Newspapers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-05-03.
- ↑ Nkasiobi, Oluikpe. "Female Architects Seek Role In Decision-Making Process, Leadership". Independent News.
- ↑ "THE ROLE OF WOMEN AND GIRLS IN PEACE INITIATIVES IN NIGERIA" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-02-19.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Itunu Hotonu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |