Ivan Botha
Muigizaji na mwandishi wa filamu wa Afrika Kusini
Ivan Botha ni muigizaji wa Afrika Kusini, anajulikana katika uhusika wake kama Pieter van Heerden mwenye muonekano wa kiafrika.
Ivan Botha | |
---|---|
Amezaliwa | Ivan Botha Desemba 13 1985 Afrika ya kusini |
Kazi yake | Muigizaji |
Alionekana kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya kutisha ya The Raven,[onesha uthibitisho]ikiongozwa na David DeCoteau.Pia Ivan Botha aliendelea kuonekana kwenye mfululizo wa filamu ya Bakgat[1] na kwenye maonyesho mbalimbali kwenye televisheni ya Getroud met rugby.
Filamu zake
haririRuninga
haririMwaka | Jina | Uhusika |
---|---|---|
7de Laan | Pieter van Heerden | |
Getroud met Rugby | Himself |
Filamu
haririMwaka | Jina | Uhusika |
---|---|---|
2007 | The Raven | Greg |
2008 | Bakgat! | Wimpie Koekemoer |
2009 | Hond se Dinges | Dolf de Lange |
2009 | Bakgat! 2 | Wimpie Koekemoer |
2011 | Superhelde | Albert |
2011 | Roepman | Salmon |
2013 | Verraaiers | Adaan de la Rey |
2013 | Bakgat! tot die mag 3 | Wimpie Koekemoer |
2014 | Pad na Jou Hart | Basson Jr. |
2016 (Vir Altyd) Hugo
Marejeo
hariri- ↑ "Bakgat 3". www.numetro.co.za. Nu Metro Cinemas. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viunga vya ndani
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ivan Botha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |