Wikipedia:Kuonyesha vyanzo

Mfano: Dokta Fredrick alikuwa akiogopa kufukuzwa kazi kwa kufuatia ukweli aliouficha juu ya kumcheka mwuguzi Sarah.[onesha uthibitisho]


Kiungo cha "onyesha chanzo" iliwekwa kwa sababu kuna mtu amejisikia kuweka maelezo haya ya kuonyesha vyanzo juu ya maelezo yaliyoandikwa. Kama huwezi kuonyesha chanzo cha maelezo, basi tahadhali ya ziada huchukuliwa na kuwekewa kibendera cha kuonyesha maelezo ni wapi yanapotokea.

How to improve a passage that has a "citation needed" flag
How to cite sources

Verifiability is one of Wikipedia's most fundamental policies.

How to produce the "citation needed" flag
  • To learn more about the "citation needed" template itself, including when and how to use it, see Template:Ukweli.