Ivan Gašparovič
Mwanasiasa na mwanasheria wa Kislovakia
Ivan Gašparovič (amezaliwa tar. 27 Machi 1941) ni mwanasiasa na profesa wa sheria kutoka nchini Slovakia. Kuanzia mwaka wa 2004 hadi 2014 alikuwa Rais wa nchi hiyo. Pia, huyu ndiye Rais wa kwanza kuchaguliwa tena kwa mara ya pili wakati wa uchaguzi wa nchi hiyo.
Viungo vya Nje
hariri- (Kislovakia) campaign website Ilihifadhiwa 5 Aprili 2004 kwenye Wayback Machine.
- Official website
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ivan Gašparovič kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |