János Áder
János Áder (amezaliwa 9 Mei 1959) ni mwanasiasa na wakili wa Hungaria ambaye amekuwa Rais wa nchi tangu tarehe 10 Mei 2012.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu János Áder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |