Jérémie Tschanz (maarufu kama Jérémie Kisling; alizaliwa Lausanne, 27 Februari 1976) ni mwimbaji kutoka nchi ya Uswisi.[1]

Diskografia hariri

  • Monsieur Obsolète, 2003
  • Le Ours, 2005
  • Antimatière, 2009
  • Tout m'échappe, 2013
  • Malhabiles, 2016

Tanbihi hariri

  1. https://www.ricochet-jeunes.org/auteurs/jeremie-kisling
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jérémie Kisling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.