JKT Oljoro FC ni klabu ya soka nchini Tanzania mji wa Arusha ambayo awali ilicheza Ligi Kuu Tanzania Bara. Kuanzia msimu wa 2015/16 walicheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania. Wanacheza mechi zao za nyumbani kwenye Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid mjini Arusha, Tanzania. Walipanda daraja na kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya msimu wa 2010/11, walimaliza msimu wa 2011/12 wakiwa nafasi ya 6 wakicheza michezo 26, wakishinda 9, sare 8 na kupoteza 9, walifungwa magoli 19, wakiruhusu 24 wakawa na tofauti ya magoli −5 na alama 35.
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
[1]