Ligi Kuu Tanzania Bara

Ligi Kuu Tanzania Bara (kwa Kiingereza: Tanzanian Premier League) ni ligi ya kiushindani ya juu kabisa nchini Tanzania, inasimamiwa na shirikisho la soka nchini Tanzania TFF. Ilianzishwa mwaka 1965, kipindi hicho ikijulikana kama "Ligi ya Taifa". Jina hilo lilibadilishwa kuwa "Ligi Daraja la kwanza" na tena ikabadilishwa kuwa ‘’Ligi Kuu’’ mnamo mwaka 1997.

NchiTanzania
ConfederationConfederation of African Football
Ilianzishwa1963
Idadi ya timu18
Kushushwa hadiTanzanian First Division League
Levels on pyramid1
Makombe ya nyumbaniAzam Sports Federation Cup
Makombe ya KitaifaCAF Champions League
CAF Confederation Cup
Current champions[[Yanga S.C.]] (2022–23)
Ubingwa wa Juu zaidiYanga S.C. (29)
Tovutitff.or.tz/ligi-kuu-tanzania-bara/
2023–24 Tanzanian Premier League

Muundo hariri

Kuanzia msimu wa 2018/19, ligi hiyo ilikua na klabu 20 zilizocheza mashindano ya mizunguko miwili. Klabu iliyoshika nafasi ya kwanza mwisho wa msimu ilishiriki mashindano ya klabu bingwa barani Afrika (Confederation of African Football (CAF) Champions League) msimu uliofuata.

Kuanzia msimu wa 2015/16, mshindi katika mashindano ya Azam Sports Federation Cup alifuzu kushiriki mashindano ya (CAF Confederations Cup), kabla ya mabadiliko hayo, alieshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ndiye aliyefuzu kushiriki mashindano ya Shirikisho barani Afrika.

Walioshika nafasi tatu za mwisho katika ligi kuu walishuka daraja kushiriki ligi daraja la kwanza kwa msimu uliofuata.[1]

Msimu wa 2020/21 hariri

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu wa 2020/21 Ligi kuu Tanzania Bara.[2]

Msimu wa 2018/19 hariri

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu wa 2018/19 Ligi kuu Tanzania Bara.[3]

Msimu wa 2016/17 hariri

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu 2016/17 Ligi kuu Tanzania Bara:

Msimu wa 2015/16 hariri

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu 2015/16 Ligi kuu Tanzania Bara:[4]

Msimu wa 2014/15 hariri

 
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar na Mbeya City tarehe 17 Januari 2015.

Klabu ya Yanga Sc ilishinda taji la ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2014/15. Azam F.C. ilishika nafasi ya pili ikifuatiwa na [[Simba S.C.]] iliyoshika nafasi ya tatu na Mbeya City F.C. ikishika nafasi ya nne. Mfungaji bora kwa msimu huo alikua ni Simon Msuva kutoka klabu ya Yanga Sc.[5]

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2013/14 hariri

Timu zifuatazo zilishiriki ligi kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2013/14:

Msimu wa 2012/13 hariri

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2011/12 hariri

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2010/11 hariri

Timu 12 zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Washindi waliopita hariri

Klabu zilizowahi kushinda mataji ya ligi kuu Tanzania bara ni:[6]


Ushindi wa klabu hariri

Jina la Klabu Washindi
Yanga Sc 26
Simba S.C. (inajumuisha Sunderland) 22
Mtibwa Sugar F.C. 2
Tukuyu Stars S.C. 1
Pan African S.C. 1
Azam F.C. 1
Cosmopolitans F.C. 1
Mseto Sports S.C. 1
Coastal Union S.C. 1

Wafungaji wa muda wote hariri

Mwaka Alama Bora Klabu Magoli
1997   Mohamed Hussein "Mmachinga" Yanga S.C.| 26
2004   Abubakar Ally Mkangwa Mtibwa Sugar F.C.
2005   Abdallah Juma Mtibwa Sugar F.C. 25
2006 n/a n/a
2007   Mashiku SC United FC 17
2007–08   Michael Katende Kagera Sugar F.C.
2008–09   Boniface Ambani Yanga S.C. 18
2009–10   Musa Hassan Mgosi Simba S.C. 18
2010–11   Mrisho Ngasa Azam F.C. 18
2011–12   John Raphael Bocco Azam 19
2012–13   Kipre Tchetche Azam F.C. 17
2014–15   Simon Msuva[5] Yanga S.C. 17
2017-18   Emmanuel Okwi Simba S.C. 20
2018-19   Meddie Kagere Simba S.C. 22
2019–20   Meddie Kagere Simba 22
2020–21   John Bocco Simba 16
2021-22   George Mpole Yanga S.C. 17

Marejeo hariri

  1. "About the Premier League". Tanzania Football Federation. 26 February 2010. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 October 2010. Iliwekwa mnamo 21 April 2011.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Vodacom Premier League". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-04. Iliwekwa mnamo 2019-10-01.  Unknown parameter |= ignored (help)
  3. "Vodacom Premier League". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-04. Iliwekwa mnamo 2019-10-01.  Unknown parameter |= ignored (help)
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2019-10-01.  Unknown parameter |= ignored (help)
  5. 5.0 5.1 "Vodacom set to award VPL champs Sh80m". The Citizen. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-21. Iliwekwa mnamo 2019-10-01. 
  6. "Tanzania – List of Champions". RSSSF. Iliwekwa mnamo 21 April 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya Nje hariri


|-

|