Ja'Juan Seider
Ja'Juan Seider (amezaliwa Aprili 16, 1977), ni kocha wa futiboli ya Marekani na mchezaji wa zamani. Kwa sasa ni kocha wa ushambuliaji katika timu ya Penn State. Alicheza futiboli ya chuo katika timu ya West Virginia Mountaineers na Florida A&M Rattlers. Alichaguliwa katika raundi ya sita ya ligi ya NFL mnamo mwaka 2000 na timu ya San Diego Chargers.[1][2][3][4]
Marejeo
hariri- ↑ Andreu, Robbie."McElwain welcomes assistant:, The Gainesville Sun, February 3,2017, retrieved March 17,2018.
- ↑ "2000 NFL Draft Listing". Pro-Football-Reference.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-19.
- ↑ Kelly, Omar."Seider's Decision To Transfer From West Virginia Pays Off", Sun-Sentinel, November 19, 1999, retrieved March 11, 2018.
- ↑ Heeren, Dave."Glades Central 8 Cream Of County Crop", Sun-Sentinel, February 2,1995, retrieved March 17,2018.