Jabalpur

Jabalpur ni jiji la Jimbo la Madhya Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi karibu milioni 1.1 (2011). Ni mji mkubwa wa arubaini na moja nchini Uhindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jabalpur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.