Jacen Russell-Rowe
Jacen Rex Orlando Russell-Rowe (amezaliwa Septemba 13, 2002) ni mchezaji wa soka Kanada ambaye anacheza kama mchezaji wa mbele wa ligi ya soka ya Major katika klabu Columbus Crew na timu ya kaifa ya soka ya wanaume ya Kanada.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Jacen Russell- Rowe". Welcome to Brampton Soccer Club (kwa American English). Iliwekwa mnamo Aprili 11, 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Canada youth international Jacen Russell-Rowe headed to University of Maryland", Winnipeg Free Press, January 13, 2020.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacen Russell-Rowe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |