Jacinta Ocansey

Mchekeshaji ,Mwimbaji na Mwigizaji

Jacinta Asi Ocansey ni mchekeshaji, mwimbaji na mwigizaji wa Nigeria-Ghana.[1][2] Amekua akitajwa kama mchekeshaji pekee wa nchini Ghana [3] na hivo kujulikana kama "malikia wa komedi Ghana".[4] baadhi ya tuzo alizoshinda ni pamoja na ; Tuzo ya Elimu ya Juu za Ghana 2016 ya Mwanafunzi Mcheshi Mwenye Ushawishi Zaidi, Mwanafunzi Maarufu Zaidi na Mwanafunzi Mwenye Burudani Zaidi. [5][6][7][8][9]

Jacinta Asi Ocansey

Jacinta Asi Ocansey
Amezaliwa
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchekeshaji, Mwimbaji na Mwigizaji

Miaka ya awali na elimu hariri

Ocansey alizaliwa Nigeria na Alex Dzabaku Ocansey na Eucharia Ocansey kama binti yao pekee. O.[5] Alisoma elimu yake ya msingi Nigeria. Baadae kuandika mtihani wake wa cheti cha shule ya West African Senior School na akafanya kozi NIIT, alihamia Ghana kwa elimu ya juu. Uko Ghana, alisomea mawasiliano ya wingi Pentecost University College.[3][7]

Marejeo hariri

  1. ""My daughter, I have made you a professional f**l, says the Lord" – Comedienne". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-01. 
  2. Kwame, Nana (2019-02-21). "Clemento Suarez, DKB and 3 other comedians considered the best in Ghana". Yen.com.gh - Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-01. 
  3. 3.0 3.1 "Comedy was the last thing on my mind - Heiress Jacinta". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-01. Iliwekwa mnamo 2019-11-01.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. "Is Jacinta the most underrated comedienne in Ghana?". Entertainment (kwa en-US). 2018-11-09. Iliwekwa mnamo 2019-11-01. 
  5. 5.0 5.1 "Stop promoting nudity and support comedy - Jacinta urges media". www.myjoyonline.com. 2018-01-23. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-01. Iliwekwa mnamo 2019-11-01.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. "Comedy Was the Last Thing On My Mind". The Ghana Star (kwa en-US). 2017-05-28. Iliwekwa mnamo 2019-11-01. 
  7. 7.0 7.1 122108447901948 (2017-05-25). "Comedy was the last thing on my mind - Heiress Jacinta". Graphic Online (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2019-11-01. 
  8. ""Ghana's comedy did not start off well" – Jacinta". ETV Ghana. 2018-06-20. Iliwekwa mnamo 2019-11-01.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  9. "Stop promoting nudity and support comedy - Jacinta urges media". www.atlfmonline.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-01. Iliwekwa mnamo 2019-11-01.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacinta Ocansey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.