Jack Taylor
Jack Henry Philip Taylor (alizaliwa 23 Juni 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Eire, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Ipswich Town, inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL, na timu ya taifa Eire.[2]
Marejeo
hariri- ↑ EFL. "Homepage". EFL (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-23.
- ↑ https://www.11v11.com/players/jack-taylor-253752/
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jack Taylor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |