23 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Juni ni siku ya 174 ya mwaka (ya 175 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 191.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 1925 - Oliver Smithies, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2007
- 1928 - Michael Shaara, mwandishi kutoka Marekani
- 1937 - Martti Ahtasaari, Rais wa Ufini (1994-2000), mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2008
- 1945 - John Garang, Rais wa kwanza wa Sudan Kusini
- 1953 - Filbert Bayi, mwanariadha kutoka Tanzania
- 1967 - Jenista Joakim Mhagama, waziri nchini Tanzania
- 1975 - Sibusiso Zuma, mchezaji mpira kutoka Afrika Kusini
WaliofarikiEdit
- 1860 - Mtakatifu Yosefu Cafasso, padri nchini Italia
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa Nikomedia, Edeltruda, Thomas Garnet, Yosefu Cafasso n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |