Jacques Carette
Jacques Carette (alizaliwa 1 Machi 1947) ni mwanariadha wa zamani nchini Ufaransa ambaye alishiriki katika mbio za mita 400. Alishiriki Ufaransa katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1972 iliyofanyika Munich, Ujerumani katika mbio za mita 4 x 400 za kupokezana vijiti ambapo alishinda medali ya shaba akiwa na wachezaji wenzake Gilles Bertould, Daniel Velasques, na Francis Kerbiriou.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacques Carette kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |