Jade Hassouné (alizaliwa 18 Februari, 1991) ni muigizaji, mchezaji wa dansi na mwimbaji kutoka Kanada. Anajulikana kwa majukumu yake kama Meliorn katika mfululizo wa televisheni wa Marekani Shadowhunters na kama Prince Ahmed Al Saeed katika mfululizo wa Kanada Heartland.[1][2]

Hassouné mwaka 2013


Marejeo

hariri
  1. Miranda, Leaf (29 Juni 2017). "Interview: Jade Hassouné of Shadowhunters". The Young Folks. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2021.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Q&A with 'Shadowhunters' Jade Hassoune". The Urban Twist. 17 Agosti 2017. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2021.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jade Hassouné kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.