Jagdish Mittal
Jagdish Chandra Mittal (16 Septemba 1925 – 7 Januari 2025) alikuwa msanii na mtoza sanaa kutoka India. Mkusanyiko wake wa kazi za sanaa unahifadhiwa katika Makumbusho ya Jagdish na Kamla Mittal. Mnamo 1990, alitunukiwa tuzo ya Padma Shri. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Nanisetti, Serish (2025-01-07). "Jagdish Mittal: The artist as an aesthete and patron of artists". The Hindu (kwa Indian English). ISSN 0971-751X. Iliwekwa mnamo 2025-01-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jagdish Mittal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |