Jahffarie
Jahffarie (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii Japhari Msham Ally; amezaliwa 29 Septemba 1980) ni msanii wa muziki wa Hip hop na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.
Jahffarie | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Japhari Msham Ally |
Pia anajulikana kama | Jahffarie |
Amezaliwa | 29 Septemba 1980 |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mwimbaji Mwigizaji |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1998-hadi leo |
Studio | Bongo Records Mj Records |
Ame/Wameshirikiana na | Jay Moe Daz Baba Mchizi Mox Mc 2 B. Solo Thang Q Chillah Mc Dizzo |
Anafahamika zaidi kwa baadhi ya vibao vyake kama vile Niko Bize, Anajua Anachotaka, Hawapendi, n.k.
Jahffarie pia ni mmoja katika ya wanakundi la muziki wa hip hop na rap la Wateule.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jahffarie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |